Jump to content

User:MartinGermart

From Wikipedia, the free encyclopedia

Martin Gerald Mtali(Germartin) ni kijana kutoka nchini Tanzania.alizaliwa 29 december 1993 katika mkoa wa Mbeya wilayani Rungwe.Martin alisoma katika shule ya msingi Kinyangwa iliyopo wilayani Rungwe mkoa wa Mbeya na baadaye kuhamia katika shule ya msingi Bujela iliyopo ndani ya wilaya ya Rungwe mkoani humo na kufanikiwa kuhitimu elimu ya msingi mwaka 2007 katika shule hiyo.martin alifanikiwa kuendelea na elimu ya sekondary mwaka 2008 katika shule ya sekondari Bujela ambayo pia ipo wilayani Rungwe mkoani Mbeya na baadae baada ya miezi mitatu ndipo alipoweza kuhamia katika shule ya sekondari Kwashungu iliyopo mkoani Morogoro katika wilaya ya Kilombero ndani ya mji mdogo wa Ifakara,na kufanikiwa kuhitimu elimu ya sekondari katika shule hiyo mwaka 2011.