Talk:Quadrants and regions of abdomen

Page contents not supported in other languages.
From Wikipedia, the free encyclopedia

THAMANI YANGU(My Value)[edit]

Miaka Mingi iliyo pita, Nikiwa mdogo, Yesu kanitokea akanipa kazi ya kufanya. Akasema "mwanangu nenda kahubiri kwa njia ya uimbaji ili wote wamjue Mungu" Nikasitasita, moyo wangu ukawa umenyong'onyea. Nikamwuliza Mungu wangu Hizi huduma mbona umeshawapa akina Mwansasu. Mimi Hantish naanza anzaje? (Oh naanza anzaje) Kumbe Thamani yangu sikuijua, aliyeijua ni Mungu pekee.

Umebeba kusudi la Mungu wako, hata Kama Ni mdhambi kiasi gani kusudi lako lipo pale pale. Ewe mlevi acha, ewe mchawi acha, muasherati acha wamuudhi Mungu. Hivyo unavyovitumikia Ni vya muda tu vinapita. Jiulize ndugu yangu umepatana Nini na Mungu wako? Anapendezwa na wamchao Bwana, anapendezwa na wamwabuduo.

............. Song authorised by Ev. Mhugo Hantish. Written by Ev. Mhugo Hantis, from Njombe Tz. Go to YouTube channel by Writing Ev. Mhugo Hantish on YouTube. Then don't forget to subscribe, comment, like and share to many other friends as much as you can.

............. This paragraph is monitored by www.gospelheadlinesleo.blogspot.com (Gospel Headlines Leo - GHL) CALL FOR HELP +255768788303. — Preceding unsigned comment added by Mhugo Hantish (talkcontribs) 04:14, 6 April 2019 (UTC)[reply]

Anatomy and physiology[edit]

body parts region 41.191.104.74 (talk) 15:31, 10 February 2024 (UTC)[reply]