Jump to content

User:Byera04/Sample page

From Wikipedia, the free encyclopedia
Rangi ya Jua likizama

Habari, naitwa Byera04, nasoma chuo kikuu mzumbe mwaka wa pili. napenda kuwa mtangazaji wa television na redio. nafurahia kutazama jua likizama kwa rangi nzuri ya kuvutia na maajabu ya muumba wa ardhi na mbingu kulipoteza jua na taratibu giza likaingia.

maisha binafsi[edit]

Bandari ya zamani iliyopo kwenye makumbusho ya magofu ya Kaole.

napenda kuwa na marafiki wa kweli [1]

napenda kuwa na uhuru wa muda na uhuru wa kifedha[2]

naweza kufanya kazi kwa bidii pale ninapokuwa na malengo na ninapofahamu faida ya kitu ninachokifanya[3]

napenda kutembea sehemu zenye vivutio mbalimbali na kuizunguka dunia.

Reference section[edit]

  1. ^ "7 Things Loyal Friends Do for Each Other". The Date Mix. 2019-04-21. Retrieved 2023-01-22.
  2. ^ Jones, Bob (7 April 2022). "Sample headline". The Sample Times. Retrieved 22 January 2023.
  3. ^ www.bing.com https://www.bing.com/ck/a?!&&p=5a1fced6dea59831JmltdHM9MTY3NDM0NTYwMCZpZ3VpZD0xOWZiNjE5MS05ZGNkLTZjNDEtMzBjOS03MDJjOWNiNTZkODEmaW5zaWQ9NTQyMg&ptn=3&hsh=3&fclid=19fb6191-9dcd-6c41-30c9-702c9cb56d81&psq=loyal+friends&u=a1aHR0cHM6Ly9wb3dlcmZ1bHNpZ2h0LmNvbS9sb3lhbHR5LWluLWZyaWVuZHNoaXAvIzp-OnRleHQ9QSUyMGxveWFsJTIwZnJpZW5kJTIwaXMlMjBhJTIwZnJpZW5kJTIwd2hvJTIwY2hvb3Nlcyx0aW1lJTJDJTIwdGFsZW50JTJDJTIwYW5kJTIwcmVzb3VyY2VzJTIwanVzdCUyMHRvJTIwYXNzaXN0JTIweW91Lg&ntb=1. Retrieved 2023-01-22. {{cite web}}: Missing or empty |title= (help)

External links section[edit]

Example external link


Return to the tutorial