Jump to content

Draft:Rushwa

From Wikipedia, the free encyclopedia

Rushwa na athari zake

[edit]

Rushwa[1] ni fedha au kitu cha thamani kinachotolewa au kupewa mtu mwenye madaraka ya jambo fulani ili mtoaji apatiwe upendeleo. Pia rushwa ni matumizi mabaya ya madaraka kwa manufaa binafsi. Kuna Aina za rushwa ambazo watu hutoa kwa ajili ya kupata upendeleo toka kwa wale wanaopewa ambao ni watu wenye mamlaka fulani juu ya jambo fulani ambayo mtoaji rushwa analihitaji. Rushwa imegawanyika katika makundi mawili nayo ni 1. Rushwa ndogo 2. Rushwa kubwa

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), pamoja na mambo mengine, ina jukumu la kuzuia rushwa kupitia uimarishaji mifumo.





References

[edit]
  1. ^ "Rushwa", Wikipedia, kamusi elezo huru (in Swahili), 2020-05-02, retrieved 2024-04-16