Jump to content

User:Nas2025/sandbox

From Wikipedia, the free encyclopedia

Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati, na Kusini

[edit]

Kuhusu Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati, na Kusini

[edit]

Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati, na Kusini ni shirika la kiserikali linalosaidia afya katika nchi wanachama. Iko mji wa Arusha, nchi ya Tanzania. Shirika hili pia linasisitiza ushirikiano wa mikoa baini ya nchi wanachama. Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati, na Kusini inasaidia nchi tisa. Nchi wanachama hawo Kenya, Lesotho, Malawi, Mauritius, Eswatini, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Zambia, na Zimbabwe.

Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati, na Kusini ilianzishwa mwaka wa elfu moja tisa mia na sabini na nne. Tangu mwaka wa elfu moja tisa mia na sabini na nne, Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati, na Kusini ilisaidia nchi nyingoiklppoine nje ya nchi tisa wanachama pia. Baadhi ya nchi hizo ni Botswana, Burundi, Cameroon, Eritrea, Gabon, Liberia, Mozambique, Namibia, Rwanda, Seychelles, Sudan Kusini, Sudan, na Somalia.

Lengo kuu la shirika hili ni kufanya bora ufanisi wa huduma za afya. Kutimiza malengo yao ya shirika, wanashiriki na mashirika mengine, utafiti, na sera. Muda mrefu, shirika inatumaini kuongoza afya katika Afrika Mashariki, Kati, na Kusini kwamba raia katika nchi matokeo mazuri ya afya.

Mfumo wa Serikali Katika Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati, na Kusini

[edit]

Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati, na Kusini ina matawi matano ya serikali.

  • Mkutano wa Wizara ya Afya: Tawi kuu la serikali. Kazi yao ni kupitia sera na kitaifa mikakati ya afya. Pia wanafafanua mashaka ya juu ya afya.
  • Kamati ya Ushauri: Tawi hilo linahudumia mwili ya uongozi ya katibu wakuu.
  • Kamati ya Ushauri ya Pamoja ya Wakuu: Kamati ya juu ya ufundi
  • Kamati za Wataalamu wa Miradi: Kamati madogo za ufundi
  • Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati, na Kusini ya Katibu Wakuu: Kamati hii inatekeleza miradi ya afya.

Programu Katika Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati, na Kusini

[edit]
  • Programu wa Magonjwa Sugu na Usalama wa Chakula
  • Programu wa Afya ya Familia na Magonjwa ya Kuambukiza
  • Programu wa Afya ya Mifumo na Kuendelea ya Uwezo

Mafanikio ya Afya ya Umma ya Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati, na Kusini

[edit]
  • Wameelimisha ya juu ya elfu mbili miwongozaji wa afya
  • Uundaji wa lebo juu ya sabini nchini wanachama
  • Wananzishwa wa vyuo saba vya afya

Vyuo vikuu vihusisha na Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati, na Kusini

[edit]

References

[edit]

East Central and Southern Africa Health Community (ECSA HC): Auda-NEPAD. NEPAD Home. (n.d.). https://www.nepad.org/publication/east-central-and-southern-africa-health-community-ecsa-hc  

East Central and Southern Africa Health Community. GAIN. (n.d.). https://www.gainhealth.org/east-central-and-southern-africa-health-community

Health Community - Fostering Regional Cooperation for better health. ECSA. (n.d.). https://ecsahc.org